NJIA YA PILI
π§♀️Chukua nazi iliyokomaa vizuri (sio zile changa)
π§♀️Kuna nazi vizuri kwa kutumia njia yeyote iliyo rahisi kwako kama una mbuzi,
food processor, blender, grater au grapefruit spoon yoyote unaweza kutumia.
π§♀️Chukua maji ya vuguvugu kiasi kisha ongeza kwenye ile nazi uliyokuna
π§♀️ Changanya na mikono yako kwa dakika 1 hadi 2
π§♀️Kamua vizuri kwa kutumia chujio la nazi au cheese cloth ili upate tui la nazi.
π§♀️Unaweza kurudia mara kadhaa kuweka maji ya vuguvugu ili kutoa matui yenye mafuta yote (mafuta yote kwenye nazi in general).
π§♀️Ukishapata tui weka katika chupa na liache likae kwa masaa 24 ili mafuta yajitenge na maji.
π§♀️Au unaweza weka jikoni (medium heat) kwa muda wa saa moja au mpaka maji yameondoka na yaliyobakia ni mafuta tu (au kwa kiwango kikubwa)
π§♀️ Toa mapovu ya juu halafu weka mafuta yako katika chupa utakayoandaa.
π§♀️Hadi hapo mafuta yako yapo tayari kutumia.
ITAENDELEA NJIA YA TATU❤️

0 Response to "40. JINSI YA KUTENGENEZA MAFUTA YA NAZI (2)"
Post a Comment