π§π»♂️ Jua jinsi ya kuchana nywele zako kwa usahihi
π§π»♂️Jua jinsi ya kufumua nywele zako kiusahihi na jinsi ya kuzitunza wakati umefumua ili kuzuia kukatika.
π§π»♂️ Jinsi ya kubana na kusuka nywele pamoja na kuchagua mitindo rafiki kwa ajili ya nywele
π§π»♂️Treatments za kufanya katika nywele zako
- Steaming(deep conditioner)
-Protein treatment
-Hot Oil treatment
-Hair mask
-Leave in conditioner
π§π»♂️ Jinsi ya kupaka mafuta kichwani
π§π»♂️Vitu vya msingi vya kuwa navyo kabla haujaanza kuhudumia nywele zako
π§π»♂️Vitu vya kuepuka katika kuhudumia nywele zako
π§π»♂️Kwanini umeamua kuwa na nywele za asili
π§π»♂️ Una malengo gani na nywele zako
π§π»♂️UVUMILIVU

0 Response to "78. KANUNI 10 ZA KUWA NA NYWELE NZURI"
Post a Comment